Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio maana halisi ya akili kubwaHakuna mtu atakwambia ukweli, pesa yake anaitoa wapi. Zaidi utadanganywa tu.
Watu wana mambo mengi sana, wewe tafuta yako Mkuu. Ukisubiria uambiwe utakesha.
Ukiambiwa familia ina migodi, utatafuta mgodi nawewe? Familia ina vituo vya mafuta mikoa yote, je utafanya hivyo?
Nashukuru pesa za wengine hazinisumbui wala kuninyima usingizi. Naishi maisha yangu...
Mbona kama tayari una majibu yako na ka wivu kwa nbaliii.Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya
Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa..?
Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache tu alafu nje umepaki BM..?
Yani unalipa kodi zaidi ya 1Milioni, umeweka mfanyakazi mzigo uliouweka ndani nimchache sana. Hata masaa zaidi ya manne hakuna mteja hata mmoja aliekuja kununua ila unamaisha safi kabisa
Tupeni siri nasisi vichwa maji tuamke usingizini
V8 hizo Lambo,G wagon,new morden defender ni za kutosha.Huku kkoo wanaporomosha mijengoo tuu..nchi imefungukaa walahii magari namba E inaakribia kufika mwishooo Vieiteee sio gari za serikali tena.