LaanaturahiBIASHARA MATANGAZO.
🤣Hakuna mtu atakwambia ukweli, pesa yake anaitoa wapi. Zaidi utadanganywa tu.
Watu wana mambo mengi sana, wewe tafuta yako Mkuu. Ukisubiria uambiwe utakesha.
Ukiambiwa familia ina migodi, utatafuta mgodi nawewe? Familia ina vituo vya mafuta mikoa yote, je utafanya hivyo?
Nashukuru pesa za wengine hazinisumbui wala kuninyima usingizi. Naishi maisha yangu...
Jidanganye hivyo hivyo au wewe ni mgeni jijini? Nenda kinondoni pale kwa mnyama ndiyo utajua!Kujituma kufanya kazi ndio silaha ya mafanikio
Mie mwenyewe tajiriJidanganye hivyo hivyo au wewe ni mgeni jijini? Nenda kinondoni pale kwa mnyama ndiyo utajua!
Asipoelewa basi hatuna la kumsaidiaHakuna mtu atakwambia ukweli, pesa yake anaitoa wapi. Zaidi utadanganywa tu.
Watu wana mambo mengi sana, wewe tafuta yako Mkuu. Ukisubiria uambiwe utakesha.
Ukiambiwa familia ina migodi, utatafuta mgodi nawewe? Familia ina vituo vya mafuta mikoa yote, je utafanya hivyo?
Nashukuru pesa za wengine hazinisumbui wala kuninyima usingizi. Naishi maisha yangu...
Hakika hakikaNipo mkuu, tunamalizia mwakaa.