Siku hizi mshahara ukitoka

Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Lazima,hata wewe ukitaka penzi unakua na maneno matamu hujioni tuu wakati ule ...
 
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Hahahah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mungu anaona mengi asee
 
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Ha ha ha Mahaba yako ni imara kama walinz wa mkwawa.....
 
Eti lazizi wngu eti leo tarehe ngapi? Na anaulizia mwisho wa mwezi ,cku hizi namzimia tu cmu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…