Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima,hata wewe ukitaka penzi unakua na maneno matamu hujioni tuu wakati ule ...Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
HahahahSiku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Pole mdada!!nyie nao mmezidi kutusakama wadada, kwani nyie hamna mapungufu. mengine mnatusingizia
Kwa hiyo nyie huwa hamtakagi penzi co???Lazima,hata wewe ukitaka penzi unakua na maneno matamu hujioni tuu wakati ule ...
Mapungufu kama vilee???nyie nao mmezidi kutusakama wadada, kwani nyie hamna mapungufu. mengine mnatusingizia
Si ndio zenu nyinyi, hasa akiwa mtt mzuri sasa...ha ha ha na inakaribia tarehe 15 naona mapenzi yamepungua ukakumbuka maneno ya mwisho wa mwezi
nipe risiti nikuelezeeMapungufu kama vilee???
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umeshaanzanipe risiti nikuelezee
Kwan ulipewa papuchi uuze?!Kwa hiyo nyie huwa hamtakagi penzi co???
haaa! haaa! haaa![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umeshaanza
Papuchi ya nani???Kwan ulipewa papuchi uuze?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mungu anaona mengi aseeSiku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Ha ha ha Mahaba yako ni imara kama walinz wa mkwawa.....Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
haha ha ha ha polee dadaangunyie nao mmezidi kutusakama wadada, kwani nyie hamna mapungufu. mengine mnatusingizia