Siku hizi mwanamke kwenye gari na iphone hachomoki

Siku hizi mwanamke kwenye gari na iphone hachomoki

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao;

1. MWANAUME MWENYE GARI - Sikuhizi ni ngumu sana mwanamke kumkataa mwanaume mwenye gari, hata kama mwanamke ana ndoa au mpenzi wake wa muda mrefu.

2. MWANAUME ATAKAYEHAMUA KUTUMIA MBINU YA KUHONGA SIMU (IPHONE) - Siku hizi ni ngumu sana mwanamke kukataa kuingizwa kwenye mtego wa mapenzi kwasababu ya iphone (iphone 11, 12, 13, 14, na kuendelea).

"Gari na iphone" ni vitu viwili ambavyo vinawafyatua wanawake wengi sana, wengine ni Wake za watu ambao wamevaa pete ambazo tayari zimeshabadilika rangi kwasababu ya ukongwe wa ndoa.

Kwa mfano:
✓ Leo acha gari lako nenda bila gari kamtongoze mwanamke (hata kama ni mke wa mtu) ambaye hakujui. Atakukatalia na atakwambia ameolewa hivyo hawezi kucheat.

✓ Kesho nenda na gari lako kwa mwanamke huyo huyo aliyekukatalia. Kisha muombe aingie ndani ya gari hata kwa dakika mbili ili aonje ile harufu ya manukato (Air fresh) ya gari, walahi hachomoki ng'o! - labda kama mumewe ana gari ambalo thamani yake ni zaidi ya gari lako.

Right Marker
Dar es salaam
 
Umaskini wa fikra kama alivyosema Mwamuzi wa Tanzania ...

Kuna wenzako kila siku wanakula pisi ambazo ni fine girl hata hawana mpango wa iphone au gari.

Ukiona unakutana na pisi za namna hiyo jua ni pisi zenye njaa njaa tu...

Pisi alafu inaomba vocha ndo nini sasa....
 
Iphone mbona mbali, mie chipsi yao napata mbunye, nikihonga nokia ya tochi ndio kabisaaa, napewa ya mguu bara mguu pwani... Mtu mzima kajisaidia kichakani, hatari hiyo, unaweza kojoa ubongo
😂
 
Back
Top Bottom