Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kukurukakara zimepotea kabisaa. hakuna vionjo vipya wala vya zamani tena, hakuna amsha amsha, na kabisaa hakuna maajabu kunako 6kwa6.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba, wahusika huenda ndio kwanza wachumba tu, au ni mchepuko.
kulikoni ngoma nzito namna hiyo nyakati hizi? vibe hakuna kabisaa?
Game imepooooaa mno.
nini maoni yako ndugu mdau?
Kongole nyingi sana Dar Es Salaam Young Africans, kwa kuinyandua Simba bao moja la uchungu sana hadharini mchana kweupe leo, pale lupaso 🐒