Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajielewi tu na hawajui majukumu yao ya ndoa, wanajua mke ukimnunulia vyakula ukajaza ndani basi, hiyo miujiza mingine tutaisikia Kwa bulldozer MwamposaDuh hatari chanzo ni nini
Kuna kesi moja ilivuja mme ndiye analala mzungu wa nne, mke anashangaa, na ukimuona hutaamini macho yakounalalaje bila kupata kiburudisho kidogo cha kutoa uchovu kwa emergency?🐒
Halafu mke aliongea anaonekana ana mdomo na mwishowe anapeleka umbea kwao kuwa mwanamke huyu mkorofi kumbe shida ipo kwake anajihami. Mie naona wazazi wakiume wawe karibu na vijana wao.siku izi kijana akioa,
Yes mnakula kuku mnakunywa na bia sana tu, lakini unamuonea huruma sana, ni kama kabeba bomu tu la kujitoa muhanga likamlipukie mwenyewe nyumbani, sijui kwanini aise?
halafu changamoto kubwa zaidi siku hizi ni haya haya ya game kufanyika chini ya kiwango..
sifahamu makosa ilifanyika wapi mpaka tukafikia huku kama jamii 🐒
huu inabid ungekuwa uzi alafu uzi ulibid uwe coment umri wa mtoa mada kwakwel bora digital imeingilia kat sipat picha huyu ndie angekuwa babu anatoa historia ya maisha yakeKwa bahati mbaya kwenye uanzishaji mijadala ya maisha ya mapenzi, mtu mmoja anakuwa anatumia uzoefu wake kutolea maamuzi kwa jamii nzima.
Hadi wakati mwingine huwa najikuta nahisi huenda huyo mtu huwa hujizungumzia mwenyewe kwa code kwenye huo mjadala aliouanzisha.
Ova
Uwezo ndio ushayoyoma mkuuunalalaje bila kupata kiburudisho kidogo cha kutoa uchovu kwa emergency?🐒
KweliNyeto tu hamna kingine chochote 🐒
Sasa Legend jamaa yako amesema hakuna maajabu a.k.a amekinai huoni anatakiwa apunguze? 😂 hamna tuzo.Sasa BK tusipofanya ngono tufanye nini, yaani starehe yetu ni kuwekana, mengine yanahitaji gharama kubwa sana na uwezo huo hatuna.
na aliyemwambia kuwa kuna vitu vipya ni nani?. hakuna jipya kwenye ngono, yeye ndo mpya ma ajuwe kuna watangulizi wakeumeshatiana na wangapi kwa hiyo tafiti yako? ukute umekumbana na wanawake wenye vikoba, brac, asa, kausha dam, mwendokasi, kikwapa, chupi mkononi nanbuti la jeshi ukatarajia viuno vya paka chongo ukakuta na kitu gogo.
Utelezi hauna substitute hata kidogo, papa is sweater than anything you know in this world.Sasa Legend jamaa yako amesema hakuna maajabu a.k.a amekinai huoni anatakiwa apunguze? 😂 hamna tuzo.
Tucheze hata karata hazina gharama 🤣
Chonde chondeNdo maana nasema hilo tendo lifutwe.....
Halafu hao Kwa kulalamika kuwa wenza wao wanawazarau, hata akiambiwa chukua kikombe hapo 🤣🤣kwamba eti huo ndio ushujaa 🤣
athari za nyeto ni mbaya sana aise dah🐒
Vijana banaumeshatiana na wangapi kwa hiyo tafiti yako? ukute umekumbana na wanawake wenye vikoba, brac, asa, kausha dam, mwendokasi, kikwapa, chupi mkononi nanbuti la jeshi ukatarajia viuno vya paka chongo ukakuta na kitu gogo.
Umeona eee halafu baadaye wanalalamikia wanawake hawajatulia kumbe sababu ni wao wenyewealaaaa alaaa alaaaa kumbe,
au ndiyo yale ya mke anachati na hawara yake, anamwambia limume langu leo limelewa subiri kidogo lilale nitatoka 🤣
Ni kama biashara zingine tu, Mapenzi ya Jumla ni ndoa, rejareja ni dating za aina yoyote ile.mapenzi yanatesaje tena gentleman na wakati ni zawadi ambayo iko available sana na bwerere mno nyakati hizi? Labda cha kushangaza tu ni kuona majamaa eti yanajiua au kuua wenzao kwaajili ya mapenzi dah !
halafu gentleman ,
kwani kuna mapenzi ya jumla na rejareja?🐒