sifahamu hata nilijua kivyovyote vile itakua kama vita huko Mashariki yakati ghaza na TelAviv au kama game ya simba na yanga hakuna kutegemea πumeshatiana na wangapi kwa hiyo tafiti yako? ukute umekumbana na wanawake wenye vikoba, brac, asa, kausha dam, mwendokasi, kikwapa, chupi mkononi nanbuti la jeshi ukatarajia viuno vya paka chongo ukakuta na kitu gogo.
Usigeneralize, nazungumzia wewe ushazeeka ni muda wako wa kwenda kusinzia kwenye viti bungeni.Kwan haya mambo yana uzee kweli gentleman? wakati mzee wa miaka72 anabaka mtoto wa miaka9?
uzee unakua eneo gani kwa mfano hapo kwenye mgegedo gentleman?π
Ha ha ha ha jamani ningekuwa Mimi nisingejibu nikukaa kimya si Kwa jibu hiliumeshatiana na wangapi kwa hiyo tafiti yako? ukute umekumbana na wanawake wenye vikoba, brac, asa, kausha dam, mwendokasi, kikwapa, chupi mkononi nanbuti la jeshi ukatarajia viuno vya paka chongo ukakuta na kitu gogo.
Kwa bahati mbaya kwenye uanzishaji mijadala ya maisha ya mapenzi, mtu mmoja anakuwa anatumia uzoefu wake kutolea maamuzi kwa jamii nzima.Kukurukakara zimepotea kabisaa. hakuna vionjo vipya wala vya zamani tena, hakuna amsha amsha, na kabisaa hakuna maajabu kunako 6kwa6.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba, wahusika huenda ndio kwanza wachumba tu, au ni mchepuko.
kulikoni ngoma nzito namna hiyo nyakati hizi? vibe hakuna kabisaa?
Game imepooooaa mno.
nini maoni yako ndugu mdau?
Kongole nyingi sana Dar Es Salaam Young Africans, kwa kuinyandua Simba bao moja la uchungu sana hadharini mchana kweupe leo, pale lupaso π
Wengine miaka 40 gari imeshazima, mapya yatoke wapi kelele tu na umbeya ,Pole sana kazi na umri umeshakinai
Wengine sio uzee miaka 40 tu hamna kitu zaidi ya kupitisha haja ndogo ha ha ha haUsigeneralize, nazungumzia wewe ushazeeka ni muda wako wa kwenda kusinzia kwenye viti bungeni.
Gentleman,Kwa bahati mbaya kwenye uanzishaji mijadala ya maisha ya mapenzi, mtu mmoja anakuwa anatumia uzoefu wake kutolea maamuzi kwa jamii nzima.
Hadi wakati mwingine huwa najikuta nahisi huenda huyo mtu huwa hujizungumzia mwenyewe kwa code kwenye huo mjadala aliouanzisha.
Ova
we we we we,Usigeneralize, nazungumzia wewe ushazeeka ni muda wako wa kwenda kusinzia kwenye viti bungeni.
alaaaa alaaa alaaaa kumbe,Siku hizi huwezi Kuta jipya, maana wanaume wenyewe sahizi hawajalala wapo tu wanachat badala yakwenda kulala sasa vitu vipya na vya ajabu vitatoka wapi? Wapo na wao kama wanawake kwenye simu umbeya, zamani ilikuwa mke akichelewa kwenda kulala mme anamfuata unafanya nini huku anafunga milango, sasa siku hizi mwanaume anakalisha komwe lake kama la bibi yake anachart tu.
Ndo maana nasema hilo tendo lifutwe.....Kukurukakara zimepotea kabisaa. hakuna vionjo vipya wala vya zamani tena, hakuna amsha amsha, na kabisaa hakuna maajabu kunako 6kwa6.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba, wahusika huenda ndio kwanza wachumba tu, au ni mchepuko.
kulikoni ngoma nzito namna hiyo nyakati hizi? vibe hakuna kabisaa?
Game imepooooaa mno.
nini maoni yako ndugu mdau?
Kongole nyingi sana Dar Es Salaam Young Africans, kwa kuinyandua Simba bao moja la uchungu sana hadharini mchana kweupe leo, pale lupaso π