Siku hizi ni kama vile hakuna maajabu tena kwenye kufanya mapenzi

unalalaje bila kupata kiburudisho kidogo cha kutoa uchovu kwa emergency?πŸ’
Kuna kesi moja ilivuja mme ndiye analala mzungu wa nne, mke anashangaa, na ukimuona hutaamini macho yako
 
Halafu mke aliongea anaonekana ana mdomo na mwishowe anapeleka umbea kwao kuwa mwanamke huyu mkorofi kumbe shida ipo kwake anajihami. Mie naona wazazi wakiume wawe karibu na vijana wao.
 
huu inabid ungekuwa uzi alafu uzi ulibid uwe coment umri wa mtoa mada kwakwel bora digital imeingilia kat sipat picha huyu ndie angekuwa babu anatoa historia ya maisha yake
 
Sasa BK tusipofanya ngono tufanye nini, yaani starehe yetu ni kuwekana, mengine yanahitaji gharama kubwa sana na uwezo huo hatuna.
Sasa Legend jamaa yako amesema hakuna maajabu a.k.a amekinai huoni anatakiwa apunguze? πŸ˜‚ hamna tuzo.

Tucheze hata karata hazina gharama 🀣
 
umeshatiana na wangapi kwa hiyo tafiti yako? ukute umekumbana na wanawake wenye vikoba, brac, asa, kausha dam, mwendokasi, kikwapa, chupi mkononi nanbuti la jeshi ukatarajia viuno vya paka chongo ukakuta na kitu gogo.
na aliyemwambia kuwa kuna vitu vipya ni nani?. hakuna jipya kwenye ngono, yeye ndo mpya ma ajuwe kuna watangulizi wake
 
Sasa Legend jamaa yako amesema hakuna maajabu a.k.a amekinai huoni anatakiwa apunguze? πŸ˜‚ hamna tuzo.

Tucheze hata karata hazina gharama 🀣
Utelezi hauna substitute hata kidogo, papa is sweater than anything you know in this world.
 
kwamba eti huo ndio ushujaa 🀣

athari za nyeto ni mbaya sana aise dahπŸ’
Halafu hao Kwa kulalamika kuwa wenza wao wanawazarau, hata akiambiwa chukua kikombe hapo 🀣🀣
 
umeshatiana na wangapi kwa hiyo tafiti yako? ukute umekumbana na wanawake wenye vikoba, brac, asa, kausha dam, mwendokasi, kikwapa, chupi mkononi nanbuti la jeshi ukatarajia viuno vya paka chongo ukakuta na kitu gogo.
Vijana bana
 
alaaaa alaaa alaaaa kumbe,

au ndiyo yale ya mke anachati na hawara yake, anamwambia limume langu leo limelewa subiri kidogo lilale nitatoka 🀣
Umeona eee halafu baadaye wanalalamikia wanawake hawajatulia kumbe sababu ni wao wenyewe
 
Ni kama biashara zingine tu, Mapenzi ya Jumla ni ndoa, rejareja ni dating za aina yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…