Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
chunguza vizuri huenda return valve imezibuliwa au kizibo cha tanki la mafuta kimefunguliwa, yaani kote waziwazi hivyo mafuta huisha mapemaWakuu.Sijui ni uhenga umewadia. Sijui ni stress au TBL wameongeza ukali.
Siku hizi nikinywa tu bia 10 Castle Lager ,nalewa mbaya sana mpk watu wananishangaa. Mpk Kuna wakati nashindwa kudrive Kluger V yangu.
Mtaalam anaweza akanisaidia,hii situation inasababishwa na nini?
Dah...Kwani Kuluga V yako ni rangi gani?😀😀😀Wakuu.Sijui ni uhenga umewadia. Sijui ni stress au TBL wameongeza ukali.
Siku hizi nikinywa tu bia 10 Castle Lager ,nalewa mbaya sana mpk watu wananishangaa. Mpk Kuna wakati nashindwa kudrive Kluger V yangu.
Mtaalam anaweza akanisaidia,hii situation inasababishwa na nini?
Atakuwa mzinza Wa chatoUTAKUWA MHAYA, MANA NDYO WANA TABIA YA KUJISIFU