Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Wakuu.Sijui ni uhenga umewadia. Sijui ni stress au TBL wameongeza ukali.
Siku hizi nikinywa tu bia 10 Castle Lager ,nalewa mbaya sana mpk watu wananishangaa. Mpk Kuna wakati nashindwa kudrive Kluger V yangu.
Mtaalam anaweza akanisaidia,hii situation inasababishwa na nini?