Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

Yan hapo mtoto wa watu akijua unamsifia hiv atajiona kitambi chake kimebarikiwa kuliko vitambi vyote duniani
 
Yan hapo mtoto wa watu akijua unamsifia hiv atajiona kitambi chake kimebarikiwa kuliko vitambi vyote duniani
We acha tu mkuu, mwanzo nilikua namdengulia, yaani kila nikikiona kitambi chake stimu zilikua zinakata, nilikua sitaki hata mazoea nae, kumbe ule msemo wa wahenga "usilo lijua ni usiku wa kiza" una maana nzito sana.
 
Demu awe na mahipsi na tako refu kisha kitambi cha kitimoto kile sio swala[emoji3]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] wewe itakua unamjua jirani yangu kabisa.
Mrefu, mahips kama yote, tako ndio usiseme + na hicho kitambi mbonyeo ndio ananimaliza kabisa.
Hio picha ya hapo juu kabisa ndio inasadifu shepu ya jirani yangu kipenzi.
 
Hio ndio mizigo ya Standard Geji ambayo wahuni tunapenda kuishi nayo😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…