Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

Kalewa huyo ngojeni arudi kwenye utimamu wake mbona kitaumana..[emoji23]
KENZY kwenye ulevi huu sidhani kama utimamu utarudi tena
Screenshot_20220117-104918.jpg
 
Hujakutana na vitambi wewe..[emoji3]
Hiyo mitambi unayoizungumzia wewe hapana siitaki, huu uzi unazungumzia vile vitambi vya wastani.
Panda juu uanze kusoma hii thread kwa umakini.
 
Kuna shape ambazo ni hovyo tu kwa kweli hasa kwa soko letu la kimatumbi[emoji28] usione wenzenu wanaenda uturuki kuchongesha soko gumu bila tako hapa mjini!

Unaweza maliza miezi 6 hujaombwa hata namba[emoji3]
Inabidi mchague shape au bikra mnachotaka ni nini yani??[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana hamueleweki
 
Back
Top Bottom