Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

Vitambia alivyovizungumzia mleta mada ni kama hivuo vinavyoonekana pichani hapo

Demu wangu anacho kama hicho anafanya mazoezi kwa madai ya kupunguza kitambi namwambia aache maana tumbo lake linaendana na mwili wake
Tena kua mkali kwelikweli, anataka kukupunguzia utamu ili iweje
View attachment 2085332
 
Unabinua tumbo ndo uone K
Sio kweli, wewe kitambi chako ni hiki
Screenshot_20220117-211337.jpg
 
Haya matingatinga haya nyie endeleeni nayo, Mambo yasiyobebeka ya nini?
 
Back
Top Bottom