KERO Siku hizi Taasisi za Umma na Ofisi nyingi za Serikali watumishi wanachelewa kazini, chai wanakunywa Saa nzima, wana majibu ya ovyo

KERO Siku hizi Taasisi za Umma na Ofisi nyingi za Serikali watumishi wanachelewa kazini, chai wanakunywa Saa nzima, wana majibu ya ovyo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Thread imejaa ulalamishi wa kiswahili swahili. Wewe mwenyewe ukute ndo walewale.

Je, tukikutembelea wewe eneo lako la kazi au biashara vipi unatenda haki???Kwa ulalamishi huu uliouonyesha hapa ni dhahiri wewe pia hiyo kasumba unayo ila hujaishtukia.

Shida ya hii nchi ni tangu mtu anazaliwa mambo ni shagalabagala.Usilalumu sana maana huo ni mfumo ambao watu wamekuzwa nao kwahiyo mabadiliko yatachukua muda mrefu.

Lack of accountabilty inaanzia kwa hao top dog huko bungeni na mawizarani.Kama wao wanataka mambadiliko waanze wao wenyewe.Huko chini watafata ila hayo .atamko na study za zimamoto ni upetevu wa muda.

Katika familia wakubwa wakijiheshimu wadogo hufata mkondo.Vice versa is true.
 
Usiandike kama vile unawajua watanzania wote labda huo upuuzi wote ulioandika hapo umejiandika wewe
Basi endelea ku enjoy huduma bora kutoka kwa watumishi wetu wa umma waliojaa weledi na uzalendo uliotukuka, ndugu mwananchi.
 
Thread imejaa ulalamishi wa kiswahili swahili. Wewe mwenyewe ukute ndo walewale.

Je, tukikutembelea wewe eneo lako la kazi au biashara vipi unatenda haki???Kwa ulalamishi huu uliouonyesha hapa ni dhahiri wewe pia hiyo kasumba unayo ila hujaishtukia.

Shida ya hii nchi ni tangu mtu anazaliwa mambo ni shagalabagala.Usilalumu sana maana huo ni mfumo ambao watu wamekuzwa nao kwahiyo mabadiliko yatachukua muda mrefu.

Lack of accountabilty inaanzia kwa hao top dog huko bungeni na mawizarani.Kama wao wanataka mambadiliko waanze wao wenyewe.Huko chini watafata ila hayo .atamko na study za zimamoto ni upetevu wa muda.

Katika familia wakubwa wakijiheshimu wadogo hufata mkondo.Vice versa is true.
Msamehe, hata wewe ungekuwa unemployed unge-behave hivyo, because brain inakuwa hypoxic
 
Kipindi cha Magufuli wafanyakazi wa umma walikuwa wakichapa kazi hasa
Kuwahi kazini kuchapa kazi na hakuna utoro

Sasa hivi wamerudi tabia yao
unajipunguzia kinga za mwili bila kupata virusi vya ukimwi (Acquired immunodeficiency diseases) aka AIDDs
 
walimsema vibaya weeeee mzee wa watu mpaka kaamua kujiondokea wacha muione joto ya jiwe
Maisha yanaendelea tena kwa raha kabisa.
Hapa Duniani kuna MAJITU lazima yatoweke ili watu wengine waishi kwa furaha.
 
Haijaanza Leo hii, kipindi Fulani nilikuwa napiga mishe Dodoma, nilikuwa kaenda kula kwenye ka mgahawa pale Duwasa,
Wale staff wa Duwasa, wakifika kazini asubuh, wanaingia ofsn,saa mbili wanaenda kupiga chai nje ya ofc Yao, opposite na geti Lao, wakifika, hapo ni story tu, umbea,mpila, na upuuzi, mwingine, wakikaa kidogo, wanachungulia nje, kucheki boss kafika!wasipoona gari yake,story zinaendelea! Wale kenge ni wavivu balaa,
Upande wa pili, kuna data centre ya voda,ma engineer wanapiga chai huku kazi, inaendelea, hata wakiwa wametoka, akaja mteja anataka huduma, lunch inasitishwa mtu ahudumiwe! Serikalini kuna security kubwa, ujitume, ulale lale, salary inaingia tu,
Tayari kuna tafiti,imefsnywa na tamisemi, asilimia 40 ya watumishi wanakula salary tu, hawafanyi kazi
mbona umeongea kwa hisia sana ewe mwananchi. umegeneralize sana xana. kuna watumish chapa kaz sana watu hawalalal kuhakikisha. party manifesto, Development goals(sdgş), na bajeti kuu vinatekelezwa kwa %100. kama kuna kau uviv ni uchache tu.
 
Kwahiyo umepita ofisi za umma nchi nzima ukakagua na kukuta watu wanakunywa chai saa nzima?
 
Rais Samia ndio Rais aliyetekeleza miradi mingi ya maendeleo kwa muda mfupi kuliko Rais yeyote wa nchi hii. Hutaki kunywa sumu ufe
 
Weledi wa kazi umepunguwa, watu wamegeuka miungu watu , yaan fulu tafurani.

Kuna Mahali nilikuwepo kama wiki tatu, watumishi wanaingia kazin kuanzia mishale ya saa tatu mpaka nne Asubuhi .

Saa Tano wanaenda kunywa chai, Saa Saba nanusu wanaenda kula Cha mchana, Kwa hiyo Milo miwili ,Masaa mawili yanakata.

Ebwana wanajikuta miungu watu, nyodoo, na ule "Mimi hapa ndio top " , wanapenda kuabudiwa balaa, ila utendaji kazi SIFURI .

Sasa picha linaanza, kwenye Taasi husika yenyewe, Watumishi wanaingia kazin kuanzia saa nne kasoro , kuanzia mpango kazi ,utendaji ,uwajibikaji ni ilimradi siku iishe.

Hakika MAGUFULI atakumbukwa Kwa nidhamu aliowapa watumishi.

UNAJUA WATANZANIA, WANA KAWAIDA YA KUSOMA MAZINGIRA, WAKIONA KIONGOZI WA JUU NI LEGELEGE NA WAO WANAPITIA HUMOHUMO.

Unakutana na Kiongozi ,picha linaanza, anakuambia Kula Kwa urefu wa kamba, hujakaa sawa, anakuambia sipendi kufoka nyie watu wazima , unageuka kushoto , Mimi naongea Kwa karamu 🤣🤣 duuh!!.

Hivi hata UISLAMU ndio unawafundisha kuiona Pepo ni kufumbia macho ujinga?.
Kuna ukweli

Turudishe utaratibu wa mikataba tu
 
Top kama amelegalega unategemea nini?mtu hayupo ofisini unadhani labda kaenda ziara ya kikazi kumbe amechill nyumbani kwake,hopeless kabisa.
 
Angalia mda wanaotoka kazini usiangalie mda wanaoingia mkuu.
 
Haijaanza Leo hii, kipindi Fulani nilikuwa napiga mishe Dodoma, nilikuwa kaenda kula kwenye ka mgahawa pale Duwasa,
Wale staff wa Duwasa, wakifika kazini asubuh, wanaingia ofsn,saa mbili wanaenda kupiga chai nje ya ofc Yao, opposite na geti Lao, wakifika, hapo ni story tu, umbea,mpila, na upuuzi, mwingine, wakikaa kidogo, wanachungulia nje, kucheki boss kafika!wasipoona gari yake,story zinaendelea! Wale kenge ni wavivu balaa,
Upande wa pili, kuna data centre ya voda,ma engineer wanapiga chai huku kazi, inaendelea, hata wakiwa wametoka, akaja mteja anataka huduma, lunch inasitishwa mtu ahudumiwe! Serikalini kuna security kubwa, ujitume, ulale lale, salary inaingia tu,
Tayari kuna tafiti,imefsnywa na tamisemi, asilimia 40 ya watumishi wanakula salary tu, hawafanyi kazi
Ulijaribu kufatilia na utofauti wa mishahara yao hao wa duwasa na voda
Mtu anadeliver kutokana na anachokipata
 
Kwahiyo umepita ofisi za umma nchi nzima ukakagua na kukuta watu wanakunywa chai saa nzima?
😇possibly wana social (whattssap) group country wide, ndyo wanako-share experience zao za UTOPIAN rubbish🤣
 
Kwahiyo umepita ofisi za umma nchi nzima ukakagua na kukuta watu wanakunywa chai saa nzima?
😇possibly wana social (whattssap) group country wide, ndyo wanako-share experience zao za UTOPIAN rubbish🤣
 
Back
Top Bottom