Siku hizi ualimu ni kazi iliyopoteza heshima mtaani

mshahar haukutan kbs,
vimirad vinakufa bila hat mia ya faida.
wameamua kuingia
kweny bodaboda,
kuchoma mishikak,
ukinyoz,
stress nying
 
Lkn maisha yao si yanaenda??.Wengine tumefika hapa tulipofika kwasababu ya mshahara wa walimu,Mungu uwabariki Walimu wote,popote pale walipo.Nawapenda sana Walimu ningekuwa uwezo ningerudisha fadhila kwa kila mwalimu lkn basi mimi si chochote,Nawaombea tu kwa Mungu muweza wa yote.
 
Kama wanaoendesha boda boda posta wale sio mwalimu tu wanawazidi wafanyakazi wengi tu kipato
Kuna baadhi ya maeneo mjini Dereva wa boda boda anaingiza hela kuliko Mwalimu
 
Watumishi wote wa umma awamu hii tunaisoma namba, siyo walimu tu.
 
Kuna baadhi ya maeneo mjini Dereva wa boda boda anaingiza hela kuliko Mwalimu
Kwani aliyekwambia Walimu hawaingizi hela ni nani?.Acha kukariri maisha,kuna Walimu ni mabig boss huwezi amini yaani.Binafsi niliwahi kuishi Nyumba ya kupanga pale Mbeya Mjini inayomilikiwa na Mwalimu,Yule Mwalimu alikuwa vizuri kiuchumi hatari,alikuwa anamiliki Nyumba za kupangisha,zipo km Kota hivi,Gari la kutembelea,Duka la spare za Gari na Pikipiki,Mashamba makubwa ya Viazi,Mradi wa nguruwe,n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…