Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
SIKU HIZI UKINUNUA VITU HIVI LAZMA UINGIE JIKONI MWENYEWE
asali
ukwaju
unga wa dengu
parachichi
matango
vitunguu maji
viazi
ndimu
limao
KWANINI UFANYE HIVYO?
[emoji116]
wanawake wamegundua kwamba vitu hivyo ni dawa ya chunusi,makovu na weupe.
kidume unakaa ukumbini unasubiri badia ushushie na juice ya parachichi unakuta mwenzio kajipaka usoni [emoji23][emoji23][emoji23]
SHKAMOONI WANAWAKE[emoji113]
Kiviere Wa Usangi