Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡
 
Thread ya pili hii ndani ya mwezi huu inalalamikia uume kutoa maziwa baada ya kisex na dem.

Kuondoa hiyo sintofahamu, acha ngono zembe.
Fanya uoe
Tumia kinga
 
Nikionaga ma slay queen,wavaa vikuku,wanaochomekea madela kwny chupi popote pale najua hio ni gono/kaswende/UTI imetulia mahala pake inasubiria mpambanaji aende akagaiwe.
Hivyo ni viwanda vya uzalishaji na usambazaji wa magonjwa sugu. Uti sugu, fangasi sugu, gono sugu, kaswende sugu, warts sugu, hata umeme sugu.


Bora puli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…