Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walivyo na midomo kama mbwehaWatakubwatukia
Kabisa yani huo ugonjwa hapana😂😂😂 Tena atutoe
Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..
UTI pia inachangiwa na vyoo mnavyotumia sio tu ngono..Kabisa Yan huo ugonjwa hapna
Unachelewa mkuuKuna raha ya kula mwanamke mmoja unayemwamini. Sijawahi umwa hata muwasho na siku nikipata najua exactly ni nani kanipa hayo majanga.
Tatizo nyie wasafi hamtaki kutoa mbususu zenu na ndio maana hamna ma utiUsijumuishe wote
Nina mke boss. Hakuna kuchelewa wala kuwahi kwenye maamuzi binafsi. Anayechakata kila uke unaompitia ni maamuzi na aliyeamua kuoa na kuwa na familia ni maamuzi. Hakuna jipya ila ni kila mtu anapambana na matokeo ya maamuzi yake katika masaa yake ya kuwa hai.Unachelewa mkuu
Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Thread ya pili hii ndani ya mwezi huu inalalamikia uume kutoa maziwa baada ya kisex na dem.Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Pumbavu kabisa hawa viumbe alafu doctor anakwambia uende nae na yeye akatibiwe. [emoji57] Atajua mwenyewe hukoMimi siku mbili nikaanza ona bolo halikauki, week usaha sijui ule hatari kabisa...unavuja boxer jioni haifai
Shenzi kabisa yule
Hivyo ni viwanda vya uzalishaji na usambazaji wa magonjwa sugu. Uti sugu, fangasi sugu, gono sugu, kaswende sugu, warts sugu, hata umeme sugu.Nikionaga ma slay queen,wavaa vikuku,wanaochomekea madela kwny chupi popote pale najua hio ni gono/kaswende/UTI imetulia mahala pake inasubiria mpambanaji aende akagaiwe.
Vikuku ndo ugonjwa wangu. Nikiona demu kavaa vikuku de libolo linapandisha mashetaniNikionaga ma slay queen,wavaa vikuku,wanaochomekea madela kwny chupi popote pale najua hio ni gono/kaswende/UTI imetulia mahala pake inasubiria mpambanaji aende akagaiwe.
Hakikisha haukosi hela ya dawa pamoja na AZUMA 😂Vikuku ndo ugonjwa wangu. Nikiona demu kavaa vikuku de libolo linapandisha mashetaniView attachment 2348771
Hongera aisee ila wengine ni balaa tupu.[emoji23][emoji23][emoji23] Tena atutoe
Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..
Azuma dawa ya kikohozi 🤣🤣🤣Hakikisha haukosi hela ya dawa pamoja na AZUMA 😂
Sawa jirani..Usijumuishe wote
Mwamba utakuwa umekutana na kitu cha Kirando au KABWE wewe.Kuna mikoa inaongoza kwa hili tatizo, mmojawapo ni Rukwa, usithubutu
Sawa mkuu nimekuelewa, sisi wachakataji tunaendelea kuchakata hadi wake za watuNina mke boss. Hakuna kuchelewa wala kuhai kwenye maamuzi binafsi boss. Anayechakata ni maamuzi na aliyeamua kuoa ni maamuzi. Hakuna jipya.