Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Wanatumika saana, wengine kila siku, wengine hubadili wanaume wawili hadi watatu kila siku, na zama hizi wanaume mabwege sana
 
Mwanamke anaangalia TV masaa, saloon anakaa masaa kibao, simu anachati masaa lakini bafuni anatumia dakika 5 hadi 10 hafikishi hata dakika 30, kuosha kuuma na kuzikamua shahawa zitoke zote hawajui, Mi huwa nawaambia kama jana ulitoa shoo au umetumika mfululizo usije kwangu, uje kwangu pitisha siku mbili hujatoka shoo, ukija ntagundua ntakutimua Kwa aibu sitaki ujinga,
 
Au vile vitenge mnakata kata papuchi inakua salama dada ake

Hata Jez ya man u inafaa
Hapo kwenye jez yaman u umenichekesha...vitenge ni salama pia ..zipo ped mr price mliman ni za kizaman sana zipo kama vitambaa tu...muda mwingine ua natamani nilete topic iyo watu waache kutumia maped ya kisasa sababu yanaleta fungus
 
Maneno ya kiutu uzima Sana haya[emoji4][emoji106]
 
Mwisho unaamua kutulia. Mke anakupiga matukio. Unaenda kuomba ushauri wale uliowaona wanapoteza pesa kwa kutokutulia na mtu mmoja. Haya mambo ni complex.
ha ha ha.....[emoji28]
Haya mambo Ni complex Sana[emoji4]
 
Kuna ka upepo flan hivi kanakuijia,
Hata ukitania, Wanakuja wenyewe TU[emoji4]
 
Wanasema Kama mwanMke Ana gonna au kaswende 70 % anakuwa na ukimwi pia
 
Afungue TU kanisa[emoji4]
 
Wengine baada ya Kubobeka ( Kubobea ) na kupata Maambukizi ya STD's hasa Gono tayari Majina ya Dawa za Kujitibia kama Cipro, Doxy na Flygil zimeshakaririka Vichwani mwetu kwa ajili ya Kujitibia haraka.
Ila wewe....
 
Nawashangaa, UTI inasumbua wanawake wengi hata watoto wa kike wadogo ambao hawajaanza ngono. Na style ya maisha , vyoo vichafu, jinsi ya kujisafisha ukienda haja kubwa. Maji machafu ya kunawia. Kama ni magonjwa ya zinaa sawa lakini UTI haihusiani
Bora umweleze mtoa mada mkuu.[emoji120]
 
Wewe utakua na mkosi tu mkuu

Mbona nyuchi ziko poa tu
 
Bora umweleze mtoa mada mkuu.[emoji120]
Hata UTI ni ugonjwa wa zinaa, ingawa visababishi sio zinaaa pekee yake ndio mana ipoe kwenye kundi la STIs (Sexual Transmitted Infection)
 
Ngono kwa vijana imekuwa kitu cha kawaida sasa... Haya yote ndo matatizo ya ngono na bado!!
Tatizo ni hilo kwa sasa papuchi ni sawa na kuandikwa tangazo for sale ni soko huria.Vijana wetu wakishauza hawaendi kwwnye vipimo na kwa binti wa kike lutokana na maumbile yake si rahisi kuhisi kwamba ameshakuwa na tatizo huchukua muda mrefu.Kwa mwanaume ni siku mbili unasikia dalili.Hakika jamani inahitajika awareness ya hali ya juu kuondoa tatizo hili.
 
Sababu kubwa maisha na kuzingatia maokoto imewafanya watunguane na wanaume wengi na hapo husababisha kuwa na sperm za walevi,waathirika na watu wenye matatizo ya kiafya.Chagua mmoja ishi nae mlinde na shida za duani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…