Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

😂😂😂 Tena atutoe

Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..
Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni

E. coli (Escherichia coli0​

2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
 
Kukojoleana,elewa kiswahili.Umenikumbusha dogo aliyekufa Jana Kwa kugongwa na kibajaji😔Lakin sidhani kama enzi zake alijitesa na nyeto🤦
hapana sitaki UTI, Kaswende, Kisonono, Pangusa wala HPV
 
Ujana kwa kweli maji ya moto. Ni balaa. Mie mwenyewe sijaoa ila duh...naona nimebugi step kinoma mpaka nafika 42. Lakini sasa napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumubwa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.

Mwili nao unataka kujipoza sometimes . Chaputa haiwezi kukuridhisha kila muda. Tunaishi kwenye nyakati ngumu sana kwa vijana
Mkuu wewe 42 sio kijana tena.. Wewe unaruhusiwa kugombea Urais kabisa 😂 😂
 
Back
Top Bottom