Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tena atutoe

Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..
Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni

E. coli (Escherichia coli0​

2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
 
kufa mapema sitaki, hata kukojoa mbona na mie nakojoa
Kukojoleana,elewa kiswahili.Umenikumbusha dogo aliyekufa Jana Kwa kugongwa na kibajajiπŸ˜”Lakin sidhani kama enzi zake alijitesa na nyeto🀦
 
Kukojoleana,elewa kiswahili.Umenikumbusha dogo aliyekufa Jana Kwa kugongwa na kibajajiπŸ˜”Lakin sidhani kama enzi zake alijitesa na nyeto🀦
hapana sitaki UTI, Kaswende, Kisonono, Pangusa wala HPV
 
Mkuu wewe 42 sio kijana tena.. Wewe unaruhusiwa kugombea Urais kabisa πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…