Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Atokee mtaalam awatofautishie gono na u.t.i kwa uelewa wng ule usaha unaochafua boxer ule sio uti ni gono.
 
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Huyo mwingine unakuta yupo Mwanza, wewe upo Dar. Kazi kweli kweli.

Madaktari mnakwama wapi kufikiri nje ya boksi.

Watibuni tu hao wanaojileta, mwingine atapambana huko huko alipo
 
Kabisa mkuu

Papuchi huwa ina harufu fulani hivi natural kabisa ambayo siyo ya kukeleka ukiisikia kutoka kunako

Kwangu hiyo harufu nikiisikia huwa ina uhusiano mzuri sana na dushe lazima lisimame na kutikisa kichwa mara mbili kuisifia hiyo harufu na mwili huwa unasisimuka
 
Nimekutana na wadada wengi sana wa umri chini ya miaka 20 wanatafuta na kununua dawa(Clotrimazole V cream/pessaries, Miconazole V cream/pessaries, Silver nitrate caustic pencil n.k) kwa ajili ya kujitibia. Kichwani huwa naendelea kusikitika huku nikijisemea mambo yalishabadilika siku hizi.
 
mkuu kama namfahamu huwa namwambia kabisa ili ajuee ili apunguze shobo hawa viumbe wamenipa UTI ambayo nilikuwa naisikia na nilikuwa sijawahiii kuumwa hata siku moja kwenye maisha yangu.
na siku nilijua UTI ni balaa ni pale nilipo ona uchafu unatoka na boxer kuchafukaa...
watatuuwa hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…