Siku huyu jamaa akigundua anasalitiwa itakuaje?

Siku huyu jamaa akigundua anasalitiwa itakuaje?

Umeshajiuliza na siku akigundua wewe ulikua unajua kinachoendelea na umekaa kimya itakuaje?
Au ndio umekuja kuanzisha Uzi kutibua mambo?
Mkuu 'The Monk' yaan hapo mhusika sio Mimi Ila huyo Mwanamke na mchepuko wake, sasa jaribu kuwaza siku mwenye mke ukigundua rafiki yako ndio anatembea na mkeo utafanya nini?
 
Umejuaje kama mumewe hajui?

Unajuaje kama mume wa huyo dada anafaidia kwa mkewe kuchepuka?

Familia za kiswahili zina mambo mengi.. Pengine unachokiona kikawa tofauti na kilivyo.

Yaani jamaa asijue mkewe kapata wapi gari?..
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu 'The Monk' yaan hapo mhusika sio Mimi Ila huyo Mwanamke na mchepuko wake, sasa jaribu kuwaza siku mwenye mke ukigundua rafiki yako ndio anatembea na mkeo utafanya nini?

Huyo mwenye Mke si unafahamiana nae?
Akijua kwamba wewe unajua mkewe ana mchepuko na haujamtahadharisha itakuaje?

Hapo inabidi uzingatie usemi wa Smart911 " mambo Yao waachie wenyewe"
 
Habari, wana jukwaa

Ambao hamjaoa msije mkaogopa

Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu.

Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara chache anaweza kukaa mpaka miezi mitatu bila kurudi kwa familia yake.

Huyu dada huku aliko ameanzisha mahusiano mapya yaani ni kama ndoa vile. Kilichoniumiza kama mwanaume jamaa amerudi kuja kutazama familia yake.

Sasa leo walikua wanasafari Kuna sehemu wanaenda, yule dada aliamua kunishirikisha kwenye hiyo safari, nilichoshangaa gari iliyotumika kwenye safari ni hiyo gari ya mchepuko, jamaa mwenye mke ndio alikua anaendesha gari ya mume mwenzake bila wasiwasi.

Je, siku akigundua anasalitiwa na mkewe na anaemchapia ni yule aliewapa gari atachukua uamuzi gani kama sio mauwaji, maana hii ni dharau ya hali ya juu
Atakula hata tiGo yako
 
Kilio mwenzake leso
Shida mwenzake mateso

Mie mwenzangu nani😉😉
 
Sina akili za hovyo za kuendesha gari ambayo imekuja na sijui imetoka wapi, ni ya nani na sina kumbukumbu ya kushiriki uwepo wake (aidha kimchango au manunuzi)... Sina mke na mpango wa kuoa hawa wanawake wa kizazi hiki wasio na akili hata kidogo SINA!... Wana akili za kubadili pedi na kuongeza na kupunguza matako na maziwa.

Wewe ulivyoanzaga kutafuniwa huyo mkeo ulijisikiaje?!Am
Mtumainiye Mungu
 
Back
Top Bottom