Siku huyu jamaa akigundua anasalitiwa itakuaje?

Umeshajiuliza na siku akigundua wewe ulikua unajua kinachoendelea na umekaa kimya itakuaje?
Au ndio umekuja kuanzisha Uzi kutibua mambo?
Mkuu 'The Monk' yaan hapo mhusika sio Mimi Ila huyo Mwanamke na mchepuko wake, sasa jaribu kuwaza siku mwenye mke ukigundua rafiki yako ndio anatembea na mkeo utafanya nini?
 
Umejuaje kama mumewe hajui?

Unajuaje kama mume wa huyo dada anafaidia kwa mkewe kuchepuka?

Familia za kiswahili zina mambo mengi.. Pengine unachokiona kikawa tofauti na kilivyo.

Yaani jamaa asijue mkewe kapata wapi gari?..
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu 'The Monk' yaan hapo mhusika sio Mimi Ila huyo Mwanamke na mchepuko wake, sasa jaribu kuwaza siku mwenye mke ukigundua rafiki yako ndio anatembea na mkeo utafanya nini?

Huyo mwenye Mke si unafahamiana nae?
Akijua kwamba wewe unajua mkewe ana mchepuko na haujamtahadharisha itakuaje?

Hapo inabidi uzingatie usemi wa Smart911 " mambo Yao waachie wenyewe"
 
Atakula hata tiGo yako
 
Kilio mwenzake leso
Shida mwenzake mateso

Mie mwenzangu nani😉😉
 
Mtumainiye Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…