Siku Idd Amin alipomkamata "inflation"

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
Kwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata.

Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati walipoanza kumkosoa wakaanza kupotea na kuuawa hovyo.

Uchumi ulizidi kuporomoka, siku moja Idd Amin akamwita gavana wa benki kuu na kumuuliza kwa nini uchumi unaporomoka hivyo,gavana akajibu ni kwa sababu ya inflation,Idd Amin akasema mkamateni inflation haraka.
Madikteta huwa hawana akili timamu ndo sifa yao kuu.
 
Awekwe ndani haraka sana huyo
 
Hii naikumbuka jamaa akachapisha noti nyingi eti ajaribu kukuza uchumi!!! Maweeeee mh [emoji85] [emoji12]
 
dictator hata akiwa profesa anakuwaga empty headed, afu huwa hawajielewi kama hawana akili. idi amin ni mfano tosha.
 
Hapa najua unamsema JIWE....
si bora hata jiwe, mtu kama idi amin hivi hata ukiweka mhindi wa kuchoma pembeni watu watachagua mhindi kuliko yeye (kama angelikuwa bado mzima enzi hizi), kuna majitu hayana akili alafu huwa yanaamini yana akili.
 
hata huyu jamaa nina wasiwasi naye sana,kipindi anaingia alisema watu wameficha pesa ndani eti atachapa pesa mpya.
theory gani ya uchumi sasa hiyo?hahahaa
 

mmh sina hakika kama wewe nikijana wa zamani kweli...sidhani kulikuwa na tukio hilo...ila Askofu Luwum alishughulikiwa, na wengi wetu tulilaani...
 

Huyo huyo gavana wa central bank siku moja kwenye disco, anaulizwa na boss wake.

Idd Amini: "What is the major complaint of Ugandans about my reign? "

Governor: "Your exellence, majority are complaining that there is no money in circulation"

Idd Amini: "If Ugandans are complaining about money scarcity, PRINT MORE!".

Governor: "As you wish".
 


Sasa kwanini mnalilia Mbowe na Lissu waje kuwa Marais wa nchi hii, una akili kweli.....mbona una ji-contradict? Kumbuka, Iddi Amini ni sawa tu na Mbowe, no education ila alikuwa rais...sasa fikiria Mbowe aje kuwa rais, unafikiri atafanya vituko gani hapa Bongo?
 
Mkuu siku nyingine uwe na " Human face"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…