Siku Idd Amin alipomkamata "inflation"


Hahahaha...huwa wanajua kabisa kuwa hili boss ni jinga,so hakuna kumkatalia lolote,sababu ukimkatalia analala na wewe mbereee...
 
Hivi unadhani udikteta wa Amin ni kukosa elimu? Miaka ya 70's viongozi wengi tuu wa Afrika hawakuwa na elimu lakini haeakuwa madikteta
 
dictator hata akiwa profesa anakuwaga empty headed, afu huwa hawajielewi kama hawana akili. idi amin ni mfano tosha.
Huyu mwingine anayevuma kwa sasa sio mfano tosha?
 
mmh sina hakika kama wewe nikijana wa zamani kweli...sidhani kulikuwa na tukio hilo...ila Askofu Luwum alishughulikiwa, na wengi wetu tulilaani...
Luwum st.
 
Unauhakika wa unchoongea?
 
Hivi unadhani udikteta wa Amin ni kukosa elimu? Miaka ya 70's viongozi wengi tuu wa Afrika hawakuwa na elimu lakini haeakuwa madikteta


Really....nipe wasifu wa Bokassa, Mengistu, Barre, Mobutu, Gadhafi.
 


Kwanza sijawahi kusikia mtu analilia Mbowe kuwa raisi. Labda uthibitishe!.

Pili Mbowe yujo hapa siku zote tunamwona, ameshafanya kituko gani kinachothibitisha kwamba ni idiot?

Bashite amethibitisha idiocy kwa kila kitu ikiwemo kugushi vyeti, na kuona hana uwezo wa kujenga hoja, hana ushawishi basi akaamua kuendesha maisha yake kwa uharifu.

Tofautisha na oanisha haiba na aina ya uongozi wa Iddi Amni, Jacob Zuma, na Magufuli, ukitetea hoja yako kwamba elimu ina uhusiano wa moja kwa moja na aina/uwezo wa uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…