Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hawa wote uliowataja walikuwa tishio na wengine walijiengea mpaka international airports zao vijijini, lakini wako wapi wamepita kama watakavyopita na wengine.Really....nipe wasifu wa Bokassa, Mengistu, Barre, Mobutu, Gadhafi.
Jean Beder BokassaMobutu Seseko
Hahahahahahaha dah...unajipa mamlaka ya kupiga ban..huwezi kuwa kijana wa zamani kwa tabia hiyo..Weye jamaa mbona mbishi sana? Ntakupa ban! Labda kwa huu mkwara utajirekebisha.
Gaddafi alikuwa muhitimu was chuo kikuu na alikuwa diktetaReally....nipe wasifu wa Bokassa, Mengistu, Barre, Mobutu, Gadhafi.
Mkuu, kwenye makuzi yako una historia ya kuugua kwashiokor? Hueleweki!Hahahahahahaha dah...unajipa mamlaka ya kupiga ban..huwezi kuwa kijana wa zamani kwa tabia hiyo..
Really....nipe wasifu wa Bokassa, Mengistu, Barre, Mobutu, Gadhafi.
Mkuu, kwenye makuzi yako una historia ya kuugua kwashiokor? Hueleweki!
Unaonekana mshari sana weye!!Kwa lugha hiyo ni rahisi kufahamu itikadi yako ni ipi...kwani wale wote ambao hutumia lugha za kebehi na udhalilishaji kwenye mitandao wakiamini kuwa hiyo ndiyo demokrasia na kujitambua wanafahamika ni wa upande upi
huyo mpya mi simjui.Huyu mwingine anayevuma kwa sasa sio mfano tosha?
ALISEMA PRINT MORE MONEY! KELI MANOTI YAKAWA PRINTED, KILICHOTOKEA NI KUBEBA GUNIA LA NOTI KUNUNUA MKATTE!Kwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata.
Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati walipoanza kumkosoa wakaanza kupotea na kuuawa hovyo.
Uchumi ulizidi kuporomoka ,siku moja Idd Amin akamwita gavana wa benki kuu na kumuuliza kwa nini uchumi unaporomoka hivyo,gavana akajibu ni kwa sababu ya inflation,Idd Amin akasema mkamateni inflation haraka.
Madikteta huwa hawana akili timamu ndo sifa yao kuu.
Amin aliishia darasa la pili! Mbowe form Six, Font fedi ana PhD... who is better?Sasa kwanini mnalilia Mbowe na Lissu waje kuwa Marais wa nchi hii, una akili kweli.....mbona una ji-contradict? Kumbuka, Iddi Amini ni sawa tu na Mbowe, no education ila alikuwa rais...sasa fikiria Mbowe aje kuwa rais, unafikiri atafanya vituko gani hapa Bongo?
1954...... hivi kweli hakuna tatizo na utawala huu? Jifungie chumbani utafakari, hivi kweli hakuna mahali mambo hayaendi vizuri? Nafsi yako iulize kisisrisiri!Have you also thought twice as much, fella??!!
Who killed Bishop Janan Luwum? Who killed Ben Saanane, who kiled Alphonce mawazo, who killed Azory, who killed those in the sandarusi along the beach?mmh sina hakika kama wewe nikijana wa zamani kweli...sidhani kulikuwa na tukio hilo...ila Askofu Luwum alishughulikiwa, na wengi wetu tulilaani...
1954...... hivi kweli hakuna tatizo na utawala huu? Jifungie chumbani utafakari, hivi kweli hakuna mahali mambo hayaendi vizuri? Nafsi yako iulize kisisrisiri!
Mauaji yote uliyoyasema huko nyuma serikali haikuhusika. Ulikuwa ni ujambazi wa kawaida. haya ya sasa watu wanalalamika kuwa serikali ndiyo inayafanya! Tofautisha, kati ya scenario hizi mbili. 1954, huoni tatizo kweli?Ni 'mbinguni' tu ambako pengine hakuna matatizo...matatizo yapo kila mahali...Kila serikali ina matatizo, na kila jamii ina matatizo...Suala hapa siyo kwamba uongozi wa JPM hauna matatizo...matatizo yapo...Hoja hapa ni namna baadhi yetu tunavyofanya propaganda kuhusu kile kinachodaiwa serikali hii eti ni ya kidikteta, eti ni ya mauaji, eti inaminya demokrasia...Hapo tunasema wanaosema hivyo (wakiwemo baadhi ya viongozi wetu wa dini) wamepotoka mno...Utawala wa sasa wa nchi yetu hauminyi demokrasia bali unarekebisha hali ilivyo ambapo watu walikuwa wanajifanyia mambo watakavyo kwa kisingizio cha demokrasia...demokrasia siyo fujo hata kidogo...hakuna demokrasia pasipo wajibu...Utawala wa sasa unaweka misingi ya utawala bora kwamba watu wazingatie sheria, kanuni na taratibu zilizopo...Mbunge akiwa bungeni na kunyoosha kidole cha kati eti akiamini kuwa hiyo ndiyo demokrasia ni lazima ashughulikiwe kwani vitendo vya aina hiyo hufanywa na wahuni mitaani...Mbunge na mtu mwingine yeyote yule akimtukana Head of state ambaye ni Rais wetu na ambaye ni Amiri jeshi Mkuu wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama ni lazima ashughulikiwe...Mwenzetu yeyote hata akiwa ni Askofu akifanya vitendo vya kifisadi ikiwa ni pamoja na kupokea fedha haramu zilizotokana na ufisadi ni lazima azongwe... Je, watu wanauawa kipindi hiki? Hivi wakati wa Nyerere watu hawakuuawa, je, wakati wa Mwinyi kulikuwa hakuna mauaji yoyote mitaani na hata kati ya wafugaji na wakulima? Je, wakati wa Mkapa hakukuwa na mauaji kweli? Vipi wakati wa kikwete kulikuwa hakuna mauaji? Ni wakati gani wale vijana wa madini kutoka Morogoro waliuawa na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande? HJe, yule kiongozi wa madaktari aliyekutwa msituni sijui anaitwa nani yule ulikuwa ni wakati wa JPM? Watu tuache unafiki...This President is keeping our house in order...na katika hili wako wanaoumia, hii inafahamika...lakini JPM is doing a good job...matatizo kwenye utawala wake yapo na hayawezi kukosekana...yapo mengi tu, lakini kwa sasa siyo mjadala wake...Lakini hilo la eti kuminywa demokrasia, NO...
Kauli ile ndio nilipoanza kuwa na mashaka na uwezo wake
Mauaji yote uliyoyasema huko nyuma serikali haikuhusika. Ulikuwa ni ujambazi wa kawaida. haya ya sasa watu wanalalamika kuwa serikali ndiyo inayafanya! Tofautisha, kati ya scenario hizi mbili. 1954, huoni tatizo kweli?