Siku Idd Amin alipomkamata "inflation"

  1. Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa
  2. Ni mfugaji. Nimekuwa ninauza maziwa wakati wa awamu ya nne na hii ya tano. Bei ninayouzia bidhaa yangu haijaathiriwa na mabadiliko ya uongozi wa serikali (awamu ya nne na tano). Maana yake bei niliyokuwa nauzia wakati wa awamu ya nne ni ile ile. Na wateja kwa maana ya idadi haijapungua. Ninauza.
  3. Kwa hiyo huo uhaba wa pesa wanaosema watu au lawama kwa uongozi wa serikali siuelewi!
  4. Ninaomba elimu juu ya hilo. Lakini bila matusi na kejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…