Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #81
Nasikitika kusema dunia ilipokea kiumbe hatari kwa maisha ya binadamu! Soma mwenyewe hatari iliyoletwa duniani.siku kama ya leo mwaka 1948 alizaliwa mtangazaji wa CNN Wolf Blitzer
1995 2PAC alikua gerezani??????nsiku kama ya leo Mwaka 1995, huku akiwa kaachia kibao cha "Me Against the World" Tupac Shakur hatimae anakuwa msanii wa kwanza ulimwenguni kushika chati namba 1 za Billboard ile hali yeye akiwa Gerezani.
Lipo,kuna ngoma inaitwa Bad boyz for life wapo na Bud Bunny kama sio J-BalvinHivi hili kundi bado lipo ama kwa sasa yupo solo!??