Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Double Up, ngoma ni kama movie flani hivi tena ina ujumbe kwa mamanzi wasio na uvumilivu βNip ametimiza miaka 5 leo, tangu alipofariki π ποΈ pumzika kwa amani
View attachment 2949868
Binafsi nilimjua baada ya kifo chake, hakuwahi kuwa na hit song huyu, alipigwa risasiSimjui uongo mbaya sijaijua track yake kali