Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kichwa cha uzi kinajieleza..
UTANGULIZI
Ni kama wiki 2 mbili hivi, nili post thread ya kuhitilafiana na landlord wangu mahali ilipo ofisi yangu hapa town kati.
Sasa kwakua nilikua na mambo mengi sana yananivuruga, biashara inasua sua, na mambo mengine ya kikazi, nikaamua kujipa Reatreat, kalikizo kafupi kasiko rasmi, nikae mbali kabisa na masuala yahusiyo kazi.
Naweza sema ilikua perfect timing ,maana ndio madogo walikua wanaanza likizo, na pia mama yao (yf) akapokea barua ya kazi maalum kwenda mkoa kwa week 2. So tukashauriana tu watoto acha waende salimia bibi na babu yao mjini, Tabata segerea huko, maana sisi kidogo maisha yako nje ya mji, mkoa wa Pwani.
Baada ya yote kufanyika, madogo kuondoka na yf kusafiri, nikajikuta home alone. Kazi pekee nilioamua kuji commit nayo ili angalau nijitoe kidogo katika ukimwengu wa kazi na ma computer nikachagua shamba.
HIvyo saa 12 naamkia shamba (ni around home tu hapo hapo, nina kama ekari 1),napiga kazi mpaka saa 5 asubuh, narud ndani kuandaa na kupata breakfast, narudi tena shamba ,napiga jembe mpaka saa 9 alasiri ndipo napata Lunch then naoga na kujiweka fresh na chill ndani au natoka kutembea kidogo kwa miguu mtaani then narud home, kuperuz peruz online kisha naingia kitandani saa 2 au 3 usiku kulala, kupumzika kwa ajili ya ratiba ya kesho tena.Ni maisha ya ukimya sana, no kelele na mtu, kazi ngumu, kula/kunywa na kulala. Such a good life that i missed since the days when we were being raised at home tangu tukiwa wadogo, kaz kazi, shule kula kulala.
Nimeishi hiv kwa takriban week 2 na kitu mpaka yf alipomaliza kaz na nikamwambia apite tu juu kwa juu nae akapumzike (kwao) na watoto ,nitawafuata week inapoisha ambayo ndio LEO SASA.
Leo (ijumaa) ndio nilikua nime plan na tumekubaliana niwafuate madogo na mama yao. Nikasema nitatoka zangu saa 2 usiku, angalau saa 4 kasoro niwe Segerea, then niwa fetch nikiwa najua saa 7 nitakua nimefika home, wafikie kulala na kuamkia jumamosi wako maskani.
Sikua na mambo mengi, saa 4 asubuh Ijumaa nikawa nimemaliza ishu zangu ndogo ndogo, nikasema acha niifanyie usafi chombo ya fundi, ikae safi tayar kwa ajil ya kwenda kurudisha familia nyumbani.
Kiukweli rohoni nilikua nakosa kabisa ule utulivu wa ndani kila napofikiria safari hii, muda woote napoifanyia usafi chombo. Ila nikapiga moyo kondo. Around saa 6 nikawa nimemaliza. Nikasema acha nijisogeze mbele mbele mtaani kwa wadau kupiga piga stori nikisogeza muda.
BALAA LINAANZA.
Nikiwa nimetoka home tu, nimeingia bara bara kubwa ,kama kilometa 2 hiv, nakutana na mshkaji, tunajuana fresh, japo hatuna ukaribu sana kiviile.
Jamaa alikua kapata hitilafu, chuma yake betri imenyonya, gari haipigi. Kuniona kanisimamisha, muda wote toka natoka home nilikua naongea na yf kwa simu, so niliposimama kumsikiliza mdau, nika pause maongezi. Baada ya kunieleza, nikamwabia chomoa betri yangu, uitumie ku boost, maana hatukua na ile waya ya kubustia. Kwakua jamaa ni mtu wa hiz ishu, sikutaka kujipa shida nikamuacha mimi nikaendelea na maongezi kwa simu na wife.
Sasa shida ikaja, baada ya kuwasha gari yake akairudisha betri kwangu., MISTAKE YA KWANZA, namna betri inakaa kwenye gari yake ni tofauti naa inavyokaa kwangu, so hakuzingatia hilo alipokua anairudishia.
Kafunga, akanishukuru, kanipungia mkono kaondoka, mimi bado naongea na yf.
Nilipomaliza , ile kurud ndani, weka switch on, gari inaishia kutekenyeka ,inakohoa ila haiwaki. Pia nikagundua napo switch on dashboard haiwaki kama ilivyo kawaida, ila taa 2 , ya battery na check oil pekee zina blink.
Dooh!!! Mtihani wa kwanza, fungua bonet chek batter, kume fala huyu kazi mix terminal. Ya moto kaunga kwenye kichwa cha -ve na nyingine ya -ve kaunga kwenye kichwa cha +ve.
moyon nikasema , tayari hapa huyu jamaa kashanitia hasara, kaunguza fuse za umeme. Na kwel, nilipoita kijana haraka aje aichek, kupima pima ,kakuta main fuse kwenye main supply imeungua, pamoja na vitu vingine.
Mpaka kuja ku solve tatizo, muda umepotea na shiling 60,000 vifaa na ufundi ikanitoka pale pale na haikua kwenye mipango kabisaa.
SIKU IKAWA ISHAHARIBIKA
I was very disapointed. Na huyu mshkaji mjinga mjinga naongea nae kwa simu(maana hata hakujisumbua kurud) haonyeshi kuwa concerned kabisa. Nili mind sana, nikasema shega tu, ipo siku yake, dunia ndogo sana hii na shida haziishi leo.
Huyoooo nikaseogea kijiweni kwa washkaji, nisubiri muda, Hapo hata mood ishakaa upande kidogo.
BALAA LA PILI
Saa 2, nikaamsha, mdogo mdogo , cv joint upande wa kulia nikawa naisikia inalalamika. Hii kwakwel ni uzembe wangu maana kila wakat kwa muda sasa huwa nasema nitai fix kesho, kesho tena kesho.
Sasa natembea zangu, natokezea boda la kigogo niingia mandela road ili nitafute kuingia tabata mataa, ghafla nasikia kishindo kikubwa mbele upande wangu, kwakua nilikua natembea around speed 40, nikasimama ghalfa, shuka chini, check chin ya gari sioni kitu, ingia ndani weka gia gari ikawa inapiga kelele balaa, nikairudisha parking ikanyamaza. Fungua bonet check mikanda iko gud, fen inazunguka. Weka kiubishi na kelele hivyo hivyo nijaribu kuisogeza pembeni, chuma imekataa, haiendi wala hairudi, akili ikanijia kusheck mguu uliokua unalia na nikawa naupuuzia daily, nika kata kona kali kisha check chini chini, tairi ya mbele uoande wangu wa dereva, dooohhhh!! Cv joint imekatika,vibaya, shaft haizungushi tairi, hapa nikasema oohhhh kazi inaendelea.
Tafuta mafund around, wakaja, nikamueleza dogo kwa uchache nione yeye atagundua nini, akaja na majibu yale yale, mida tayar inasoma saa 5 kasoro, e bwana ee tafuta kiifaa kila mahala maduka yashafungwa. Gharama nilizotumia kwenye bida boda tu kuzungua vijiwe vyoote around moaka ilala huko, ninkarinu 20,000/= na sijafanikiwa. Hapo acha vijana walionisaidia kusukuma gari kama wa 4 hiv, acha gharama ya kulaza gari mahala salama. Hatar kabisaa
Basi tena, fundi akasema hii ngoma ishakua ngumu na siwez kukusaidia, maadam tumekisa kifaa. Tupaki gari sehemu salama , hii kaz ni ya kesho sasa.
Ndio hivyo wakuu, siku inaishia nikilala ndani ya gari kama mlinzi.
Hapa nasubiri invoice ya fundi kesho.
Naiona sio chini ya 150,000/= ikipotea ndani ya haya masaa 12 tu.
Kiukwel siku ilianza vibaya sana na ndio inaishia hiv, malengo hayajatimia. Lets see nini kitajiri kesho asubuh.
Usiku mwema nyote
Pia soma: Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta