Siku mbaya mwanzo mwisho, nilishaihisi toka asubuhi sema nikajifanya mbishi

Siku mbaya mwanzo mwisho, nilishaihisi toka asubuhi sema nikajifanya mbishi

Binafsi nilichoona kwako siyo siku mbaya, bali ni Poor planing..

Safari za Usiku ni za kuepuka sana, hasa ukiwa na Familia, kwa maana mara nyingi ukipata dharura usiku unakuwa na uwanda Mdogo wakufanya maamuzi sahihi (lack of options).. Kwenye Planing yako huja consider dharura kwamba ikitokea nitafanyeje..

Nimeamini umepata fundisho kwenye hii changamoto. Pole sana
Uko sahihi. Binafsi sio mpenz wa safar za usiku. Sema tu nilijjaribu ku consider upande mmoja wa jam na misongamajo ya mjini ndio maana nikasema acha niemde usiku kumetulia.
But nimejifunza
 
Daahhh kwel ndefu mkuu hilo sipingi 😂😂. Sasa ningesema niandike series, kwamba INAENDELEA, hapa nikaogopa kutukanwa
😁😁😹
Kumbe nawe unaogopa matusi mzee baba.
Kwa kumbukumbu zangu nzuri huwa nikikusoma hapa jukwaani muda wote sijawahi kukuona ukipenda AMANI😁😁
 
😁😁😹
Kumbe nawe unaogopa matusi mzee baba.
Kwa kumbukumbu zangu nzuri huwa nikikusoma hapa jukwaani muda wote sijawahi kukuona ukipenda AMANI😁😁
Ahahahahahahah...dah mkuu hapana bwana, mi mzinguaji lakin sio kwa level hiyo 😂😂😂😂
 
Wewe ni mbishi sana kuziheshimu hisia zako mkuu.
Linatokea hili unapush, unasonga, linakuja hili bado huoni sign unapush kushoto unasonga.
 
Kioo tu kina onyesha iyo gari ime koswa koswa majanga mengi ..
 
Katika vitu ambavyo sitaki vinisumbue kichwa ni hayo machuma. Likigoma naachana nalo. Kuna connection na gari mtu anakuwa nayo ikiharibika na yeye anakuwa kama anaumwa. Epuka hio.
Nikiuweza huu mtihani aisee nitashukuru, maana gari ikiharibika tu na amani inatoweka
 
Nikiuweza huu mtihani aisee nitashukuru, maana gari ikiharibika tu na amani inatoweka
Yaan daah!! Sijui kama mimi nitauweza. Ujue bond yako na gari ni kali sana ndio mana lets say gari chini imegonga jiwe bila kutarajia, aisee yale maumivu unayasikilizia mpaka rohoni! 😂😂😂😂.
Sijui inatokana na nini hali
 
Mi Ka gari kangu kana mtindo wa kujizima kwenye foleni ..alafu nakawasha tena safari inaendelea najua ipo siku kata kata moto mazima nihangaike na na triangle barabarani
 
Mi Ka gari kangu kana mtindo wa kujizima kwenye foleni ..alafu nakawasha tena safari inaendelea najua ipo siku kata kata moto mazima nihangaike na na triangle barabarani
Ahahahahahah.
Kwakwel inafedhehesha sana. Sasa wewe hiyo ni kawaida yako, case yako ni tofauti kidogo 😂😂
 
Back
Top Bottom