Siku mbaya mwanzo mwisho, nilishaihisi toka asubuhi sema nikajifanya mbishi

sema mshukuru Mungu bhana ungekua unasali kwa mwamposa ningekwambia kesho ukatoe ushuhuda😂😂😂
Ujue jana wakat nachomoka ile usiku, ile kusita plus mudi imekata, nikajisemea moyoni, Mungu naomba unisaide, sijisikii kabisa kwenda ila ninalazimika kufanya hivyo.
 
Ujue jana wakat nachomoka ile usiku, ile kusita plus mudi imekata, nikajisemea moyoni, Mungu naomba unisaide, sijisikii kabisa kwenda ila ninalazimika kufanya hivyo.
poleee aiseee, pengine ungefika labda ungekutana na balaa zaidi
 
Japo story ndefu sana ila nimejitahidi kuisoma mpaka mwisho, pole sana Mkuu
Daahhh kwel ndefu mkuu hilo sipingi 😂😂. Sasa ningesema niandike series, kwamba INAENDELEA, hapa nikaogopa kutukanwa
 
Yaani me nikajua una bonge la msala kume ni hako ka gari tu, kuna mtu hajui siku inaishaje hajui atakula nn. Embu acheni kudeka nyie watoto wa shangazi
 
Kuna siku huwa kuna Ile sauti ya ndani huwa inajitahidi Sana kuzuia baadhi ya vitu ili kuepusha balaa. Naamini hii imefanya kazi kwako, pole Sana lakini pia hongera kwani umejifunza kitu.
 
Kosa kubwa kuchomoa betri kumboost mtu, hiyo biashara siku hizi hakuna mkuu, note that! Kwanza baadhi ya ndinga ukichomoa betri memory inakata. Kama hana jumper msaada hakuna.

Kosa lingine ni kufuga ugonjwa kwenye ndinga, ndinga ikiumwa ni either ikatengenezwe au ipaki hadi upate pesa.

Yote kwa yote pole sana mkuu.
 
Pole boss
 
Kosa kubwa kuchomoa betri kumboost mtu, hiyo biashara siku hizi hakuna mkuu, note that! Kwanza baadhi ya ndinga ukichomoa betri memory inakata. Kama hana jumper msaada hakuna.
Hii kitu sitarudia, sema nilikuchukulia poa kwakua yeye anatumia battery ndogo tu ya ns45 kitu kama hicho, sasa njkaona yangu kubwa haina shida..kumbe!!
Kosa lingine ni kufuga ugonjwa kwenye ndinga, ndinga ikiumwa ni either ikatengenezwe au ipaki hadi upate pesa.
Huu uzembe huwa sifanyagi ila safar hii sijui imekuaje nikafa mpuuziaji kiasi hiki
Yote kwa yote pole sana mkuu.
Shukran sana chief
 
Jifunze kumsikiliza Roho Mtakatifu ushaonywa mara nyingi hapo ila unapuuzia,
Roho Mtakatifu huonya kwa upole sana ila binadamu tuna hulka ya kupuuza na kuona ni mawazo yetu na akili zetu,
Next time nione nikupe madini namna nguvu ya Uungu inatenda kazi ndani yetu na namna unaweza kufanya nayo ushirika!

Shalom!
 
Pole
 
Binafsi nilichoona kwako siyo siku mbaya, bali ni Poor planing..

Safari za Usiku ni za kuepuka sana, hasa ukiwa na Familia, kwa maana mara nyingi ukipata dharura usiku unakuwa na uwanda Mdogo wakufanya maamuzi sahihi (lack of options).. Kwenye Planing yako huja consider dharura kwamba ikitokea nitafanyeje..

Nimeamini umepata fundisho kwenye hii changamoto. Pole sana
 
Ahsante sana mkuu.nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…