Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

huna ubavu wa kugombania usigombanie. na kugombania ni techniques na ubavu. huna kausha.
pili, jamaa unadeka kuanguka tu unakuja leta uzi wa kuona aibu sijui ngenga za kujisikia vibaya. sasa kuanguka ndio upagawe aisee jikaze man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…