PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Fundi nyumba wote wanaishia kariakoo sasa wewe unaenda mnazi mmoja kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gari ya huko ila mi lengo langu niingie Agrey na likoma paleFundi nyumba wote wanaishia kariakoo sasa wewe unaenda mnazi mmoja kufanya nini?
Kwanini isijitokeze tena unataka kununua gari ?Asantee mkuu...
Hii haitojitokeza tena nawaambia
Labda waniloge...Kwanini isijitokeze tena unataka kununua gari ?
Hahahaha 😂 😂 😂Ni gari ya huko ila mi lengo langu niingie Agrey na likoma pale
Kweli kama huu ndo mwanaume basi sishangai wahuni ku left group ...Pole ndo uanaume.....jogoo hafi kwa utitiri
Kile kikundi kilipanga kuniangusha how came naanguka myself in group of 7-10 people... HowHahahaha 😂 😂 😂
Kwa hapa sawaaa mkuu
🤣🤣🤣Walioniona ni wale wapuuzi walio niweka mtu kati...
worry out ❌️Siyo gundu hiyo ni bahati mbaya tu,
worry out.
Asubuhi na jioni ni muda wa wezi kupata riziki zao kwenye mifumo ya watuKile kikundi kilipanga kuniangusha how came naanguka myself in group of 7-10 people... How
Pole sana ndugu yangu. Wakati mwingine hali hii huwa ni mwanzo mzuri pia.Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Pole mkuu ichukulie tu bahati mbaya, isiharibu siku yako.....poleSiku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Swali la kichokozi hili..Mkuu uliangukia makalio au ubavu?
Mdam toka mwanzo wee unacheka tuu hili jambo sio la kufurahia ujue
Sasa si bora wangeiba kwanini waniangusheAsubuhi na jioni ni muda wa wezi kupata riziki zao kwenye mifumo ya watu
Kuanguka ni mwanzo mzuri....!!!Pole sana ndugu yangu. Wakati mwingine hali hii huwa ni mwanzo mzuri pia.
Ova
Kwa leo sitoki tena. Hapa mpaka keshoPole mkuu ichukulie tu bahati mbaya, isiharibu siku yako.....pole