Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena

Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
650
Reaction score
1,171
Kwa wenye uzoefu wa biashara tu.
Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena

Siku moja anza biashara fulani usikilizie kama mapapa wa biashara hiyo watafurahia hicho kitendo

Umewahi kuona viongozi wa chama tawala wana maisha mabovu?

Unaijua kazi wanayoifanya ilihali kima cha mishahara kinajulikana?

Je umewahi kulinganisha lifestyle na kima cha mishahara yao iliyoanishwa kisheria?

Sasa ukitaka kujua boss hapendi ufanye biashara kama yake amaka siku moja anza siasa ujizolee umaharufu ndiyo utajua kuwa unafanya biashara kama ya boss au la.

Watatumia mbinu yoyote ili usiharibu biashara yao kumbuka biashara ina umafia ndani yake(umafia utatumika pia)
Biashara ina mambo mengi biashara ni influence biashara ni brand ila biashara ya siasa inafosiwa wenye brand kubwa wana wateja ila hawana sales, walio top brand yao haina influence hawana sales ila wana mpunga wanapataje michuzi? kama vile haikuingii akilini ila hivyo ndivyo ilivyo
HARD TO SWALLOW??

ciao
 
Ukianzisha biashara inayotishia market share ya wakubwa, kuna namna tu watatumia legal hurdles na regulatory capture kukuzima kabla hujakua.

Iko hivi, watawala huwa hawataki competition, biashara yao ni systemic, yako ni operational kwahiyo wakiona unataka kufika walipo, ni lazima tu watabadilisha sheria overnight.
 
tupe mchanganuo wa sales na brand mkuu
 
tupe mchanganuo wa sales na brand mkuu
Biashara imegawanyika katika brand equity na revenue generation.

Biashara ya wakubwa, hawa huwa wanatumia brand influence ku control market rules. Wao hawauzi bidhaa, wanauza access.

Biashara ya Kawaida, hapa wewe ukianzia biashara utakuwa unauza bidhaa na utashindwa kama hautoelewa kuwa kwenye ulimwengu wa kibepari, usipolinda market entry yako kwa influence lazima mapapa watakuondoa kwenye mchezo ili wabaki wenyewe.
 
Ndio mana mmiliki wa kampuni ya MJ SAFARI aliwakataa baada ya kumwona hayumbu kuichumi na anawasumbua.
 
Back
Top Bottom