tupe mchanganuo wa sales na brand mkuuUkianzisha biashara inayotishia market share ya wakubwa, kuna namna tu watatumia legal hurdles na regulatory capture kukuzima kabla hujakua.
Iko hivi, watawala huwa hawataki competition, biashara yao ni systemic, yako ni operational kwahiyo wakiona unataka kufika walipo, ni lazima tu watabadilisha sheria overnight.
Biashara imegawanyika katika brand equity na revenue generation.tupe mchanganuo wa sales na brand mkuu
😂😂 just for fun nothing seriousHuu uzi una madini matupu