siku moja moja tutoe Avatar then tuweke picha zetu original..

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
siku moja moja tutoe avatar then tuweke original picture zetu ili kila mmoja apate kuiona vyema taswira ya mwenzake.. Coz avatar ya cheusi mangara na afrondezi na wengine wengi zanikosha!
 
ni kweli kabisa kiongozi,lkn ingependeza zaidi ww kuonyesha mfano then wengine tutafuata!
 
Aka staki kufukuzwa kazi!! Chezea mshahara !! Usichezee kazi!
 
Hakuna tatizo G!! Wazo zuri sana... tupe mfano basi, place yako hapo na sie tunafuata!!
 
utapata disappointment esp kwa huyo uliyesema kuwa utamuota leo...she myt b a dark fringe
 
msiogope jamani, mi ntawaka ninawa ahidi leo hlo swala nitalifanyia kazi!
 
siku moja moja tutoe avatar then tuweke original picture zetu ili kila mmoja apate kuiona vyema taswira ya mwenzake.. Coz avatar ya cheusi mangara na afrondezi na wengine wengi zanikosha!
Haya mi nishaweka, je tukikutana utaweza kunifahamu kwa hiki kipicha changu?. Hiyo ndiyo yangu halisi weka yako sasa si maneno na brabra.
 
Mimi cheusi mangala ananikuna kinyama, jamani tuweke avatar zenye picha zetu, japo tuuze sura kidogo!
 
Hivi kwanini watu hawataki wajulikane walivyo?Napata wasiwasi kama kuna kiwango kikubwa namna hii cha watu wasiojiamini,wengine humu wana ID za kike wakati sio wengine za kiume wakati sio,najaribu kufikiria sababu jibu ninalopata linanitisha!
 
Mimi cheusi mangala ananikuna kinyama, jamani tuweke avatar zenye picha zetu, japo tuuze sura kidogo!
E bwana mbona maneno mengi? Nimetoa ya Kwame nkurumah nimeweka ya kwangu mbona yako hatuioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…