Ballerina
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 386
- 187
Jamani first lady umependeza, we mzuri sana sana, nimeipenda picha yako!
So ulilenga kuwafanya watu waache kuchangia mada na kuanza kusifia picha za watu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani first lady umependeza, we mzuri sana sana, nimeipenda picha yako!
Mi nimeanza kuonyesha parts of me, then nitapandisha kwa juu...lol
mkitaka picha si muende kwenye face book kwa wauza sura wenzenu,wazinz utawajuwa tuuu...
![]()
FL1
Baada ya masaa mawili nitaiondoa
Hhhahhha FL mrembo wa haja haswa....naomba uwe dada yangu wa kufikia ehhh???!Lolzz