siku moja moja tutoe Avatar then tuweke picha zetu original..

Mi nimeanza kuonyesha parts of me, then nitapandisha kwa juu...lol
 
mkitaka picha si muende kwenye face book kwa wauza sura wenzenu,wazinz utawajuwa tuuu...

Kwi,kwi,kwi,kwiiiiiiiiiii! Hakika kama umesoma mawazo yangu!
Mimi ninachifikiri watu wengi humu siyo warembo maana kwa michango hii wanaonekana wasomi wazuri! Si unajua wenye sura nzuri na maumbo mazuri wote waliachishwa shule kwa mimba? Wengi mabar maid,mahotelia nk. Ukibahatisha mrembo msomi elimu ya kuungaunga au kununua. Nakataa tusiweke picha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…