Magufuli 05 JF-Expert Member Joined May 7, 2023 Posts 1,990 Reaction score 3,824 Apr 24, 2025 #1 Watatuua Leo ,watatutesa Leo watatukandamiza Leo lakini mungu Huwa hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Watanzania saa ya ukombozi haipo mbali sana. Hauwezi ukaua watu hivyo ukabaki salama
Watatuua Leo ,watatutesa Leo watatukandamiza Leo lakini mungu Huwa hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Watanzania saa ya ukombozi haipo mbali sana. Hauwezi ukaua watu hivyo ukabaki salama
Sharbel JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,699 Reaction score 3,281 Apr 24, 2025 #2 Ni kweli lakini vipo ambavyo huishi milele.