deecarter
Member
- Aug 24, 2019
- 23
- 64
Siku mwalimu mwalimu nyerere akirudi atashangaa kuona mabadiliko yaliopo mwalimu atashangaa akiona lile shirika kubwa EA la ndege likifa alafu lile dogo linazidi kuchipukia Mwalimu atashanga akiona zile flyover za majirani znaonekana kama tudaraja tudogotudogo akizicompare na za nchi yake Mwalimu atashangaa akiona ile ulaya ya afrika mashariki enzi zake kwasasa ni slum tupu Mwalimu atashanngaa kuona vitu kama hivi
Mwalimu atashangaa sana akisikia bado kuna nchi inapewa msaada wa chakula bila sababu za msingi Mwalimu atashangaa sana akiskia bado kunanchi ina ukabila
Mwalimu atashangaa sana akiskia bado kunanchi inapitisha bajeti kubwa kwkutegemea misaada
Mwalimu atashangaa sana akisikia nchi jirani bado asilimia kubwa ya aridhi hawawezi kuigusa
WE HAVE TO LEARN SOMETIME DICTATORSHIP CAN BRING THE POSTIVE CHANGES