matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mkuu ubarikiwe maana hata mimi nilitaka nijibu kama weweView attachment 979125
Mkuu unachosema kina karibia ukweli. By the way siku za nyuma Dar ilikuwa na minazi, miembe na mikorosho kila baada ya nyumba kwa sababu ilikuwa kama mazao. lakini hivi sasa miti ya miarobaini inachukua nafasi Kama miti ya kivuli na mfumuko wa ujenzi wa nyumba za makazi pia umesababisha miti hiyo kukatwa.
Lakini inabakii kuwa alama ya Dar esalaam kiasili