matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
wakuu mara ya kwanza nasikia dar es salaam.
nilijua ni marufuku kula wali bila nazi.
nilijua kila hatua tano, unabishana na minazi ya kutosha.
Nilijua Minazi ndio ilipelekea nembo ya jiji kuwa minazi.
cha ajabu nimekagua na kuzunguka kona nyingi miti ya Mwarobaini ni mingi kuliko hata minazi.
sijajua tatizo ni nini, miarobaini hawakuiona? au kwa sababu minazi inasura nzuri.