Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130.

Mimi at this age nadhani ni 500+, Wazungu wanatuonaje? Ndani ya wiki mbili nimechakata sister wa kikatoliki pamoja na binti mtoto wa shehe akiwa kwenye hijab na akiwa amefunga Ramadhani, kumbuka huu ni mwezi Ramadhani na ni kwaresma.

Siendi mbinguni hata mkijisumbua kuomba
 
Ndio starehe pekee ninayofurahia
Acha uasherati. Tafuta hela Mcheme wewe.
JamiiForums1449097183.jpg
 
Unaujua wimbo wa Cassanova,ukienda ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi.
Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130.

Mimi at this age niadhani ni 500+,
wazungu wanatuonaje?

Ndani ya wiki mbili nimechakata sister wa kikatoliki pamoja na binti mtoto wa shehe akiwa kwenye hijab na akiwa amefunga Ramadhani,kumbuka huu ni mwezi Ramadhani na ni kwaresma.

Siendi mbinguni hata mkijisumbua kuomba
Casanova alikuwa ni seducer sio wa kutia chomoa tu

Kuna tofauti kati ya kutia na kuseduce kisha ukatia
 
Back
Top Bottom