Siku nikifikisha staff's (employee's) digity "3" (1000+) au zaidi nitakua na furaha na amani sana!.

Siku nikifikisha staff's (employee's) digity "3" (1000+) au zaidi nitakua na furaha na amani sana!.

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Hellow bosess!
Dha.. siku nikifikisa staff 1000+ na zaidi nitahisi furaha na amani sana napenda sana watu wengi tufanikiwe na tukamilishe mipango yetu. moja kati ya malengo yangu ni kuwa na staff zaidi ya digity 3 ( namba 3)
Kati ya mashirika yaliyo na staff wengi duniani:-
1. Walmart stores Inc.
>Total emplyees: 2,300,000
>Revenue: $480 billion
>Country: USA
>Industry: Retail
2. McDonald's
>Total employee:1,500,000
>Revenue: $24.6 billion
>Country: USA
>Industry: Retail
3. Foxconn
>Total employees: 1,200,000
>Revenue: $131.8 billion
>Country: Taiwan
>Industry: Electronics
4. Volkswagen
>Total employee: 626,712
>Revenue: €105.6 billion
>Country: Germany
>Industry: Automotive
5. Kroger Inc.
>Total employees:443,000
>Revenue: $122.6 billion
>Country: USA
>Industry: Supermarket chain
 
Kila la heri Mkuu, kwa nje ya Tz inawezekana ila kwa ndani Tz katika kipindi hiki cha Jiwe, itakuwa ngumu, sekta binafsi inapumulia machine za okisijeni
 
Kila la heri Mkuu, kwa nje ya Tz inawezekana ila kwa ndani Tz katika kipindi hiki cha Jiwe, itakuwa ngumu, sekta binafsi inapumulia machine za okisijeni
hahaha jiwe limekuwa jiwe kweli
 
I would like to know the digit number for Virgin group and fly Emirates.
 
Hellow bosess!
Dha.. siku nikifikisa staff 1000+ na zaidi nitahisi furaha na amani sana napenda sana watu wengi tufanikiwe na tukamilishe mipango yetu. moja kati ya malengo yangu ni kuwa na staff zaidi ya digity 3 ( namba 3)
Kati ya mashirika yaliyo na staff wengi duniani:-
1. Walmart stores Inc.
>Total emplyees: 2,300,000
>Revenue: $480 billion
>Country: USA
>Industry: Retail
2. McDonald's
>Total employee:1,500,000
>Revenue: $24.6 billion
>Country: USA
>Industry: Retail
3. Foxconn
>Total employees: 1,200,000
>Revenue: $131.8 billion
>Country: Taiwan
>Industry: Electronics
4. Volkswagen
>Total employee: 626,712
>Revenue: €105.6 billion
>Country: Germany
>Industry: Automotive
5. Kroger Inc.
>Total employees:443,000
>Revenue: $122.6 billion
>Country: USA
>Industry: Supermarket chain
Dah...inategemea uko kwenye biashara gani.... Ukinunua ''mabelo'' 30 ya nguo za mtumba.... kwa Tshs 4.5m....ukayapeleka kila mkoa .....ukayagawa nguo kwa wamachinga 100 waziuze .......tayari utakuwa na stafu 3000...mara 3 ya lengo lako....🙂😀😀
 
hahaha sio hivyo boss mm nataka wanao kaa ofisini na kila mmoja ana kausafiri kake mwenyewe mkuu B-)B-)B-)
 
Back
Top Bottom