Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki za hapa na pale ilimradi mdomo uende kinywani, katika pita pita zangu humu JF kwenye jukwaa fulani niliwahi kumuona dadaangu Financial Services alikuwa ametoa komenti flani katika hiyo mada kitu ambacho kikazidi kunifanya nimfuatilie zaidi kutaka kumfahamu kwa undani nikaja kumgundua ni mwanamke mcheshi na anaecheka na kila mtu yupo comfortable lakini dhumuni langu la nyuzi yangu hii ni kwamba kama siku nitakuja kukutana na huyu dada financial services nitaka nimuulize maswali yangu mawili haya hapa.

1. Amewezaje kujiweka katika hali ya ucheshi na kuwaheshimu kila member wa JF kwa urembo wake alionao ni ngumu kwa mwanamke kama yeye kukosa malingo kama wanawake wenzie wa JF ambao mda wote pm wamefunga sometime wana majibu mabaya sana.

2. Ikiwa ni mchangiaji mzuri sana katika lile jukwaa letu la kula tunda kimasihara nimewahi kumfuma kama mara mbili[emoji1][emoji1] je amejiandaaje kuzikwepa mbinu za masela wanaokula tunda kimasihara ili na yeye asije andikiwa uzi kule? Pia hapo hapo nitamuunganishia na swali lingine Jamii Forums imempa faida gani na hasara gani toka alipojiunga hadi sasa?[emoji122][emoji122]

financial services
Unamjua au umevuta picha zako za kupigia nyeto, fanya kazi mtoto wa kiume acha balehe sumukuvu
 
Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na baadhi ya watu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.👍

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup 👏

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who knows at😛 ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
 
Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na watu humu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata wateja humu nilivoandika kuuuza mapazia yangu. Nashukuru

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.[emoji106]

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup [emoji122]

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who know and why not[emoji14] ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
Yaan nawew umemjibu kweli.hahahha...
Huu ulimbo hujaushtukia kabisa mdau...

Hahah.natania tu.....ts funny tho reading kamments
 
Back
Top Bottom