Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Unamjua au umevuta picha zako za kupigia nyeto, fanya kazi mtoto wa kiume acha balehe sumukuvu
 
Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na baadhi ya watu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.👍

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup 👏

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who knows at😛 ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
 
Yaan nawew umemjibu kweli.hahahha...
Huu ulimbo hujaushtukia kabisa mdau...

Hahah.natania tu.....ts funny tho reading kamments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…