Siku nikikutana na Mshana Jr

mm nina maswali mengi sana kwa mshana hata sijui nitaanza na lipi ila ajiandae
 
Kwa nini anapenda sana mambo ya kichawi?? Je anaamini uchawi unaweza kuleta maendeleo?
 
Nitamwambia mshana jr. amkia kwanza halafu nitamwambia vua miwani yako nione sura yako mwisho nitamwamuru ale konokono mbichi ili nione kama anaweza kumudu.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa nini anapenda sana mambo ya kichawi?? Je anaamini uchawi unaweza kuleta maendeleo?
Hakuna uchawi unaoleta maendeleo mpaka ufanyiwe kolabo kwakuwa sometimes haya mambo ni state of mind
 
Zero IQ Kwanza kabisa hilo jina si zuri, kumbuka perception creates reality
Back to the topic
1. Mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kama wengine wote
2. Mimi ni mkristo mlokole mweledi na mwenye hofu ya Mungu....!!!
3. Sina changamoto kwenye kazi za kichawi kwakuwa sifanyi uchawi ushirikina uganga wala ulozi
4. Tofauti ni kwamba mimi sishiriki kabisa hayo mambo
Nimejibu kadiri ya ufahamu wangu na kweli toka rohoni
 
usisahau kubeba Biblia,Quran, maji ya baraka, tasbihi, rozari, mafuta ya upako na kila kitu unachohisi ww kitakufaa [emoji126][emoji126][emoji126]
Vya nini sasa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Nashukuru kwa majibu yako nilikuwa naogopeshwa na Mada zako humu Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…